Katibu Mkuu Ofisi ya Makamu wa Rais Azindua Kamati Ya Taifa Ya Mazingira - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

demo-image

Katibu Mkuu Ofisi ya Makamu wa Rais Azindua Kamati Ya Taifa Ya Mazingira

DSC02588
Baadhi ya wajimbe wa Kamati ya Taifa ya Ushauri wa Mazingira wakimsikiliza Katibu Mkuu Ofisi ya Makamu wa Rais [pichani hayupo]alipozinduwa kamati hiyo huko PPF Tower Mjini Dar es Salaam.
DSC02603
Katibu Mkuu Ofisi ya Makamu wa Rais Sazi Salula akiwa katika Picha ya Pamoja na Kamati ya Kitaifa ya Ushauri na Uhifadhi wa Mazingira Mara Baada ya Uzinduzi, huko PPF Tower Mijni Dar es Salaam.Picha na Ali Meja

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)

Pages