MANENO YALIYOSEMWA NA BAADHI YA WABUNGE WA CHADEMA NA CCM BAADA YA MSHINDI KUPATIKANA ARUMERU - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

demo-image

MANENO YALIYOSEMWA NA BAADHI YA WABUNGE WA CHADEMA NA CCM BAADA YA MSHINDI KUPATIKANA ARUMERU

zz2
Mbunge wa jimbo la Kigoma kaskazini(CHADEMA)Zitto Kabwe alisema maneno haya muda mfupi baada ya chadema kutangazwa mshindi wa kiti cha Ubunge jimbo la Arumeru Mashariki ''Matokeo #ArumeruEast #CHADEMA 32,535 na #CCM 26,296.Our First Win From CCM in Byelection Since Founded.Only 2nd  byelection Win RAHA''.
HALIMA
Mbunge wa jimbo la Kawe(CHADEMA)Halima Mdeee aliyasema haya moja kwa moja kutoka Arumeru usiku wa kuamkia leo''Tumeshinda Tumeshinda Tumeshinda.Mungu ni Mkubwa.Asante Wana Arumeru Kwa kutuamini!Mungu  Awabariki!  

5202444286_32f859de82_z
 Mbunge wa Jimbo la Bumbuli na Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge ya Kudumu ya Nishati na Madini January Makamba alisema"It's now official: Congrats Chadema and Ndugu Nassari for winning a bitterly fought election. Wana-CCM msife moyo. Jitihada haiondoi kudra.

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)

Pages