Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed
Shein,akifuatana na Balozi wa Ireland nchini Tanzania,Lorcan Fullam,
aliyefika Ikulu Mjini Zanzibar kumuaga Rais,baada ya kumaliza muda wake
wa kazi nchini.
Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed
Shein,akisalimiana na Balozi wa Ireland nchini Tanzania,Lorcan Fullam,
aliyefika Ikulu Mjini Zanzibar kumuaga Rais,baada ya kumaliza muda wake
wa kazi nchini.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed
Shein,akizungumza na mgeni wake Balozi wa Ireland nchini Tanzania,Lorcan
Fullam,aliyefika Ikulu Mjini Zanzibar kumuaga Rais,baada ya kumaliza
muda wake wa kazi nchini.Picha na Ramadhan Othman Ikulu-Zanzibar
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)