Kutoka kulia ni Babra Hassan na Jerald Hando.
Babra Hassan na Jerald Hando wakiwa na fundi mitambo.
Watangazaji wa Clouds Fm 88.4 jijini Dar es Salaam kutoka kushoto ni
Paul James 'PJ', Babra Hassan na Jerald Hando. wakitangaza kipindi cha
Power Breakfast ndani ya viwanja vya Mnazi Mmoja wakati wa kuzindua
vipindi vipya vitakavyokuwa vikiruka mara kwa mara 'live' kutoka
mtaani.
Watangazaji
wa Clouds Fm 88.4 jijini Dar es Salaam kutoka kushoto Dina Marious na
Geah Habib wakiwa katika furaha viwanjani hapo kabla hawajaanza
kuendesha kipindi cha Leo Tena.
Mkuu wa vipindi wa Clouds Fm 88.4 Sebastian Mganga akiongea na (Kutoka kushoto) ni Jerald Hando, Paul James 'PJ', Babra Hassan.
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)