Rais Wa Zanzibar Dk Ali Shein Ziarani Pemba - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

demo-image

Rais Wa Zanzibar Dk Ali Shein Ziarani Pemba

IMG_3330
 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la MapinduziDk.Ali Mohamed Shein,  akizungumza na watendaji wa Mkoa wa Kaskazini Pemba,wakati alipofanya ziara ya kuangalia maendeleo katika sekta mbali mbali za Mkoa huo,katika ukumbi wa Jamhuri Hall Wete Pemba jana,(kulia) Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Kaskazini Pemba Hamadi Mberwa Hamadi,na (kushoto) Mkuu wa Mkoa huo Dadi Faki Dadi.
IMG_3166
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,akisalimiana na wananchi waliojitokeza kumpokea katika uwanja wa karume Pemba alipowasili kisiwani humo kwaziara maalum kuangalia maendeleo katika sekta mbali mbali za kijamii.
IMG_3292
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la  MapinduziDk.Ali Mohamed Shein,akiangalia Sabuni iliyotengenezwa katika kampuni ya Mkipi Miliki Tungamaa,ambayo inayozalisha sabuni kwa kutumia mashine maalum,alipokuwa katika ziara ya kutembelea maendeleo katika Mkoa wa Kaskazini Pemba,(kulia) Mkurugenzi Mkuu  George M.Buchwafwe.Picha na Ramadhan Othman,Ikulu-Zanzibar

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)

Pages