Mwenyekiti
wa Wakuu wa Majeshi ya Polisi Nchi za Mashariki mwa Africa ambaye pia
ni Inspekta Jenerali wa Polisi wa Rwanda, Emmanuel Gasana (kushoto)
akiongozwa leo katika Makao makuu ya Jeshi la Polisi Tanzania na
Kamishna wa Operesheni, Paul Chagonja aliopo nchini katika ziara ya
kufuatilia utekelezaji wa maazimio ya mkutano wa kumi na tatu wa wakuu
wa Majeshi ya Polisi wa EAPCCO, mkutano uliofanyika nchini Rwanda mwezi
septemba 2011. Ziara hii ni pamoja na kuimarisha ushirikiano baina ya
Majeshi ya nchi za mashariki mwa Afrika. Picha Na Hassan Mndeme wa
Jeshi la Polisi.
Mwenyekiti
wa Wakuu wa Majeshi ya Polisi Nchi za Mashariki mwa Africa ambaye pia
ni Inspekta Jenerali wa Polisi Rwanda, Emmanuel Gasana (kushoto)
akionyeshwa mazingira ya Makao Makuu ya Jeshi la Polisi Tanzania na
Kamishna wa Operesheni, Paul Chagonja leo jijini Dar es Salaam. IGP wa
Rwanda yupo katika ziara ya kufuatilia utekelezaji wa maazimio ya
mkutano wa kumi na tatu wa wakuu wa Majeshi ya Polisi wa EAPCCO,
mkutano uliofanyika nchini Rwanda mwezi septemba 2011. Ziara hii ni
pamoja na kuimarisha ushirikiano baina ya Majeshi ya nchi za mashariki
mwa Afrika. Picha Na Hassan Mndeme wa Jeshi la Polisi.
Mwenyekiti
wa Wakuu wa Majeshi ya Polisi Nchi za Mashariki mwa Africa ambaye pia
ni Inspekta Jenerali wa Polisi Rwanda, Emmanuel Gasana (kushoto)
akisaini kitabu cha wageni katika ofisi za wizara ya Mambo ya Ndani leo
jijini Dar es Salaam aliopo nchini katika ziara ya kufuatilia
utekelezaji wa maazimio ya mkutano wa kumi na tatu wa wakuu wa Majeshi
ya Polisi wa EAPCCO, mkutano uliofanyika nchini Rwanda mwezi septemba
2011. Ziara hii ni pamoja na kuimarisha ushirikiano baina ya Majeshi ya
nchi za mashariki mwa Afrika. Kulia ni Kamishna wa Operesheni, Paul
Chagonja Picha Na Hassan Mndeme wa Jeshi la Polisi.
Mwenyekiti
wa Wakuu wa Majeshi ya Polisi Nchi za Mashariki mwa Africa ambaye pia
ni Inspekta Jenerali wa Polisi Rwanda, Emmanuel Gasana (kulia)
akizungumza na maofisa wakuu wa Jeshi la Polisi Tanzania leo jijini Dar
es Salaam. IGP wa Rwanda yupo katika ziara ya kufuatilia utekelezaji wa
maazimio ya mkutano wa kumi na tatu wa wakuu wa Majeshi ya Polisi wa
EAPCCO, mkutano uliofanyika nchini Rwanda mwezi septemba 2011. Ziara
hii ni pamoja na kuimarisha ushirikiano baina ya Majeshi ya nchi za
mashariki mwa Afrika. Picha Na Hassan Mndeme wa Jeshi la Polisi.
Mwenyekiti
wa Wakuu wa Majeshi ya Polisi Nchi za Mashariki mwa Africa ambaye pia
ni Inspekta Jenerali wa Polisi Rwanda, Emmanuel Gasana (kulia)
akizungumza na maofisa wakuu wa Jeshi la Polisi Tanzania leo jijini Dar
es Salaam. IGP wa Rwanda yupo katika ziara ya kufuatilia utekelezaji wa
maazimio ya mkutano wa kumi na tatu wa wakuu wa Majeshi ya Polisi wa
EAPCCO, mkutano uliofanyika nchini Rwanda mwezi septemba 2011. Ziara
hii ni pamoja na kuimarisha ushirikiano baina ya Majeshi ya nchi za
mashariki mwa Afrika.Picha na Hassan Mndeme wa Jeshi la Polisi.
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)