Waziri wa Ujenzi, Dk. John Magufuli akipongezana na Mbunge wa Ubungo, John Mnyika (kushoto) baada ya kufungua rasmi kituo cha mabasi madogo ya abiria cha Mbezi Mwisho - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

Waziri wa Ujenzi, Dk. John Magufuli akipongezana na Mbunge wa Ubungo, John Mnyika (kushoto) baada ya kufungua rasmi kituo cha mabasi madogo ya abiria cha Mbezi Mwisho

Waziri wa Ujenzi, Dk. John Magufuli akipongezana na Mbunge wa Ubungo, John Mnyika (kushoto) baada ya kufungua rasmi kituo cha mabasi madogo ya abiria cha Mbezi Mwisho, Barabara ya Morogoro, Dar es Salaam kitakachohudumia mabasi zaidi ya 80. Wa pili kushoto ni Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Saidi Meck Sadiki na Meya wa Ilala, Yusuf Mwenda (kushoto kwa Waziri). (Picha na Fadhili Akida).

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages