Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano Samia Suluhu Hassan Akutana na Mwenyekiti wa Chama cha Wasioona Nchini Tanzania - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano Samia Suluhu Hassan Akutana na Mwenyekiti wa Chama cha Wasioona Nchini Tanzania

Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano Samia Suluhu Hassan akizumgumza na Mwenyekiti wa Chama cha Wasioona Nchini Tanzania Bw Greyson Lazaro Mlanga walipokwenda kumuona Ofisini kweke Mtaa wa Luthuli Mjini Dar es Salaam
Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano Samia Suluhu Hassan alipokuwa na  Mazungumzo na Viongozi wa chama cha  walemavu wasiooma Nchini Tanzania wakati walipomtembelea Ofisini Kwake Mtaa wa Luthuli Mjini Dar es Salaam.Picha na Ali Meja

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages