Makamu
wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Maalim Seif Sharif Hamadi akifafanua
jambo katika mkutano wake na Wafanyakazi wa Wizara ya Habari Utamaduni
Utalii na Michezo alipokutana nao na kuzungumza nao kuhusiana na masuala
mazima ya Utendaji wa Kazi zao na matatizo wanayokumbana nayo,hapo
katika ukumbi wa Salama Holl Bwawani Zanzibar,hii ni baada ya kumaliza
kwa Ziara yake ya Kuzitembelea Idara mbalimbali za Wizara hio.Kushoto
yake ni Waziri wa Habari Umaduni Utalii na Michezo Zanzibar Abdillah
Jihad Hassan.

Mfanyakazi
wa Kamisheni ya Michezo na Utamaduni Othman Mohd (Makombora)akifafanua
jambo katika Mkutano wa Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Maalim Seif
Sharif Hamad na Wafanyakazi wa Wizara ya Habari Utamaduni Utalii na
Michezo,uliofanyika hapo katika ukumbi wa Salama Holl Bwawani Mjini
Zanzibar.

Wafanyakazi
mbalimbali wa Wizara ya Habari Utamaduni Utalii na
Michezo,wakimsikiliza Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Maalim Seif
Shairif Hamadi alipokutana nao na kuzungumza nao kuhusiana na masuala
mazima ya Utendaji wa Kazi zao na matatizo wanayokumbana nayo,hapo
katika ukumbi wa Salama Holl Bwawani Zanzibar,hii ni baada ya kumaliza
kwa Ziara yake ya Kuzitembelea Idara mbalimbali za Wizara hio.

No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)