Mkurugenzi
wa Kamati ya Ushirikiano na Maendeleo ya Olympic ya kimataifa Thomas
Ganda Sithole (wa kwanza kulia) akizungumza na Waziri wa Habari
Utamaduni Utalii na Michezo Zanzibar Abdillah Jihad Hassan huko ofisini
kwake Kikwajuni.Ujumbe huo ulifika na kuzungumzia masuala mbalimbali
ikiwemo Program ya Michezo na Mafunzo Mashuleni.
Waziri
wa Habari Utamaduni Utalii na Michezo Abdillah Jihad Hassan
akizungumza na Ujumbe wa Kamati ya Ushirikiano na Maendeleo ya Olympic
ya Kimataifa I,O,C huko ofisini kwake Kikwajuni.Ujumbe huo ulifika na
kuzungumzia masuala mbalimbali ikiwemo Program ya Michezo na Mafunzo
Mashuleni.PICHA ZOTE NA YUSSUF SIMAI ALI MAELEZO ZANZIBAR
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)