Meneja
uhusiano wa Airtel Jackson Mmbando (katikati) akiongea na waandishi wa
habari wakati wa halfa fupi ya uzinduzi wa huduma mpya inayomwezesha
mteja kununua mboga kwaajili ya familia kupitia huduma ya Airtel money
inayotelewa na Airtel kwa kushirikiana na kampuni ya Stake Agrobase
International limited. Wanaoshuhudia toka (kulia) ni meneja wa Airtel
money Asupya Nalingingwa na Afisa Mauzo wa SAIL bwana Daniel Kimati
(kushoto).
Waandishi
wa habari wa vyombo vya habari tofauti wakishuhudia uzinduzi wa huduma
mpya inayomwezesha mteja kununua mboga kwaajili ya familia kupitia
huduma ya Airtel money inayotelewa na Airtel kwa kushirikiana na kampuni
ya Stake Agrobase International limited katika hafla fupi iliyofanyika
makao makuu ya kampuniya Airtel Tanzania.
Afisa
Mauzo wa SAIL bwana Daniel Kimati akiongea na waandishi wa habari
wakati wa halfa fupi ya uzinduzi wa huduma mpya inayomwezesha mteja
kununua mboga kwaajili ya matumizi ya nyumbani kupitia huduma ya Airtel
money inayotelewa na Airtel kwa kushirikiana na kampuni ya Stake
Agrobase International limited. Wakishuhudia katikati ni Meneja uhusiano
wa Airtel Jackson Mmbando akifatiwa na meneja wa Airtel money Asupya
Nalingingwa.
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)