Mkurugenzi
Mtendaji wa Benki ya NBC, Lawrence Mafuru akizungumza na baadhi ya
wahariri kutoka katika vyombo mbalimbali vya habari katika hafla
aliyowaandalia katika Hoteli ya Hyatt Kilimanjaro jijini Dar es Salaam
juzi.
Mkurugenzi
Mtendaji wa Benki ya NBC, Lawrence Mafuru (kulia) akisalimiana na
baadhi ya wahariri kutoka katika vyombo mbalimbali vya habari katika
hafla aliyowaandalia katika Hoteli ya Hyatt Kilimanjaro jijini Dar es
Salaam juzi.
Mkuu wa Masoko na Mawasiliano wa NBC, Mwinda Kiula-Mfugale (katikati)
akisalimiana na baadhi ya wahariri kutoka katika vyombo mbalimbali vya
habari katika hafla iliyoandaliwa na Mkurugenzi Mtendaji wa NBC,
Lawrence Mafuru (hayupo pichani katika Hoteli ya Hyatt Kilimanjaro
jijini Dar es Salaam juzi.
Mmoja
wa wahariri kutoka Gazeti la Daily News, Masato Masato akiuliza swali
katika hafla iliyoandaliwa na Mkurugenzi Mtendaji wa NBC, Lawrence
Mafuru (hayupo pichani) kwa wahariri wakuu na wa habari za biashara na
uchumi katika Hoteli ya Hyatt Kilimanjaro jijini Dar es Salaam juzi
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)