
Waziri
wa Uchukuzi Omari Nundu akifungua kongamano la Taifa la usafiri wa anga
leo jijini Dar es Salaam. Jumla ya wataalamu 150 kutoka ndani na nje ya
nchi wanahudhuria kongamano hilo la siku mbili.
Naibu
waziri wa Uchukuzi Athuman Mfutakamba akiongea jambo na Mwenyekiti wa
Taasisi ya Sekta binafsi Esther Mkwizu wakati wa kongamano la Taifa la
usafiri wa anga. Jumla ya wataalamu 150 kutoka ndani na nje ya nchi
wanahudhuria kongamano hilo la siku mbili linalofanyika katika hoteli ya
Serena iliyopo jijini Dar es Salaam.
Baadhi
ya wajumbe waliohudhuria kongamano la Taifa la usafiri wa anga
wakimsikiliza waziri wa Uchukuizi Omari Nundu (hayupo pichani) wakati
akifungua kongamano hilo. Jumla ya wataalamu 150 kutoka ndani na nje ya
nchi wanahudhuria kongamano hilo la siku mbili linalofanyika katika
hoteli ya Serena iliyopo jijini Dar es Salaam.Picha na Anna Nkinda - Maelezo








No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)