Waziri
wa Afya na Ustawi wa Jamii Dkt. Hadji Hussein Mponda Kushoto akiongea
na Waandishi wa Habari kuhusu kuadhimisha siku ya Kifua Kikuu Kitaifa,
ambapo sherehe zitafanyika Wilaya ya Masasi Mkoani Mtwara hivi karibuni
kwenye ukumbi wa wizara ya Afya Jijini Dar es Salaam leo.
Waziri
wa Afya na Ustawi wa Jamii Dkt. Hadji Hussein Mponda akiongea na
Waandishi wa Habari ambao hawapo kwenye Picha kuhusu siku ya Kifua
Kikuu kitaifa ambapo sherehe zitafanyika Wilaya ya Masasi Mkoani Mtwara
hivi karibuni kwenye Ukumbi wa Wizara ya Afya Jijini Dar es Salaam
leo. Picha na Anna Itenda -Maelezo.




No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)