Waziri
wa Fedha Mustafa Mkulo(kulia) akimkaribisha Naibu Waziri wa Biashara
wa China Li Jinzao (wa pili kutoka kushoto) leo jioni alipowasili nchini
kwa ajili ya shughuli mbalimbali za kuimarisha ushirikiano wa Nchi
mbili hizo. Naibu Waziri huyo yupo nchini kikazi ambapo atapata fursa ya
kukutana na viongozi mbalimbali ikiwemo Rais Jakaya Mrisho Kikwete.
Kulia ni Balozi wa China nchini Lu Youqing.
Waziri
wa Fedha Mustafa Mkulo(kushoto) akibadlishana na Naibu Waziri wa
Biashara wa China Li Jinzao (kulia) leo jioni alipofika kwa ajili ya
kumpokea katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Mwalimu Julius Kambarage
Nyerere. Naibu Waziri huyo yupo nchini kikazi ambapo atapata fursa ya
kukutana na viongozi mbalimbali ikiwemo Rais Jakaya Mrisho Kikwete.
Waziri
wa Fedha Mustafa Mkulo(kushoto) akibadlishana na Naibu Waziri wa
Biashara wa China Li Jinzao (katikati) leo jioni alipofika kwa ajili ya
kumpokea katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Mwalimu Julius Kambarage
Nyerere. Naibu Waziri huyo yupo nchini kikazi ambapo atapata fursa ya
kukutana na viongozi mbalimbali ikiwemo Rais Jakaya Mrisho Kikwete.
Kulia ni Balozi wa China nchini Lu Youqing. Picha na Tiganya Vincent- MAELEZO-Dar es salaam

No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)