WAZIRI NUNDU AFUNGUA MKUTANO WA WADAU WA USAFIRI WA ANGA - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

WAZIRI NUNDU AFUNGUA MKUTANO WA WADAU WA USAFIRI WA ANGA

Baadhi ya wadau walioudhuria katika mkutano huo wakifuatilia mada mbalimbali zilizotolewa katika mkutano huo.
Mhe Omari Nundu akiwa kwenye picha ya pamoja na wadau wa usafiri wa anga walioudhuria katika mkutano huo unaendelea kufanyika leo na kesho
Waziri wa uchukuzi Mhe;Omari Nundu akifungua mkutano wa wadau wa usafiri wa anga leo katika Hoteli ya Serena jijini Dar es salaam, mkutano huo unalenga kuangalia mafanikio ya usafiri wa anga pamoja na changamoto za usafiri huo, mkutano huo umeanza leo na utafikia mwisho kesho.

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages