Waziri
Mkuu, Mizengo Pinda akisalimiana Rais wa Kampuni ya utafiti wa
mafuta ya Europe and Africa Schlumberger Seaco Inc ya Ujerumani, Bw.
Sherif Foda kabla ya mazungumzo yao, ofisini kwake jijini Dar es
salaam Machi 27,2012.
Waziri
Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na Viongozi wa Taasisi ya Serikali za
Mitaa cha Korea (Local Government Development Institute - LOGODI),
Ofisini kwake jijini Dar es salaam Machi 27,2012. Kushoto ni Balozi wa
Korea ya nchini, Young hoon Kim na kulia ni Naibu Waziri wa Nchi,
Ofisi ya Waziri Mkuu, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa, Aggrey
Mwanry. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)