Mtoto wa
jamii ya wafugaji wa kabila la Kimasai mkazi wa kitongoji cha Makuture,
Dakawa wilaya ya Mvomero mkoani Morogoro ambaye jina lake halikufahamika
akinyonya maziwa ya ng’ombe kwa kutumia kibuyu huku akiwa amelala
miguuni mwa mama yake.
-
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)