Kocha
wa Mchezo wa Ngumi kutoka nchini Sweeden, Juma Ntuve (kulia)
akimwelekeza bondia Tomas Mashari, jinsi ya kumshambulia adui yake na
kujihami wakati akiwa katika mazoezi ya kujiandaa na pambano lake dhidi
ya Selemani Galile linalotarajia kufanyika Aprili 9, mwaka huu jijini
Dar es Salaam. Picha na Super D
Kocha
wa Mchezo wa Masumbwi kutoka Sweeden, Juma Ntuve (kushoto) akiendelea kumpa mazoezi ya nguvu bondia
Tomas Mashari.
Bondia Tomasi Mashari akifanya Mazoezi leo katika Jim yake kutafuta pumzi kwa ajili ya mpambano wake wa
ubingwa na Selemani Galile litakalofanyika Aprili 9.
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)