Waziri
wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Mazingira Dkt Terezya Huvisa
akionyeshwa kipande cha Jiwe ambacho kilikuwa Mti baada ya kufukiwa
Aridhini na Mjiolojia Mwandamizi wa Mantra Tanzania Ltd Bw Mathias Gingi
alipotembelea Mradi wa Madini ya Uranium,kampuni ya Mantra inaendeshwa
na kampuni ya uranium One ya Canada
Waziri
wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Mazingira Dkt Terezya Huvisa
akizungumza na mkuu wa Wilaya ya Namtumbo Saveli Mwangasame mara baada
ya kuwasili kuangalia Mradi ya kampuni ya Mantra ya Tanzania inaendeshwa
na kampuni ya Uraniaum One ya Canada Wilaya ya Namtumbo Mkoa wa Ruvuma
[Picha na Ali Meja]





No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)