Waziri
Mkuu, Mizengo Pinda akikagua ujenzi wa Kituo cha kimataifa cha
Mikutano cha Kimataifa cha Julius Kambarage Nyerere kwenye Mtaa wa
Shaaban Robert jijini Dar es salaam March 10,2012. Kushoto kwake ni
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Bernard Membe na
Kulia kwake ni Balozi wa China nchini, LV Youqing.
Waziri
Mkuu, Mzengo Pinda akijadili jambo na Waziri wa mamboya Nje na
Ushirikiano wa Kimataifa, Bernard Membe (kulia) , Balozi wa China
Nchini, LV Youqing baada ya kukagua ujenzi wa Kituo cha Mikutano cha
Kimataifa cha Mwalimu Julius Nyerere , Mtaa wa Shaban Robert jijini Dar
es salaam March 10,2012. Wengine pichani na wahadisi kutoka China
wanaosimmia ujezi huo.(Picha Na Ofisi Ya Waziri Mkuu)





No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)