REFA ACHEZEA KICHAPO KUTOKA KWA WACHEZAJIANGA KATIKA MCHEZO WA LIGI KUU YA VODACOM WA Y - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

REFA ACHEZEA KICHAPO KUTOKA KWA WACHEZAJIANGA KATIKA MCHEZO WA LIGI KUU YA VODACOM WA Y

Wachezaji wa timu ya Yanga wakimpiga mwamuzi wakati wa mchezo wa Ligi Kuu ya Vodacom dhidi ya Azam FC, uliochezwa Uwanja wa Taifa Dar es Salaam jana.Azam FC,ilishinda 3-1.(Picha na Michael Machellah)
 Vijana wawili wakiwa chini ya ulinzi wa Polisi, wakizaniwa kuharibu viti na kusababisha vurugu uwanjani hapo.Picha Na Sufiani Mafoto

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages