Mkazi wa Dar es Salaam, Saidi Mustafa akiendesha baiskeli huku akiwa amembeba mtoto wake Bakari mgongoni kama alivyokutwa - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

Mkazi wa Dar es Salaam, Saidi Mustafa akiendesha baiskeli huku akiwa amembeba mtoto wake Bakari mgongoni kama alivyokutwa

Mkazi wa Dar es Salaam, Saidi Mustafa akiendesha baiskeli huku akiwa amembeba mtoto wake Bakari mgongoni kama alivyokutwa Kinondoni B, Dar es Salaam. Baadhi ya akinababa wanawajibika ipasavyo katika shughuli za familia tofauti na dhana iliyojengeka miongoni mwa jamii. (Picha na Fadhili Akida).

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages