Hizi ni baadhi ya sehemu za wafanyabiashara wa soko la majengo mkoani dodoma vikiwa wazi na vitupu kutokana na mgomo wa wafanyabiashara hao kugoma hapo jana na leo.
Wafanyabiashara wa Soko Kuu Mkoani dodoma wagoma kwa siku mbili tokea jana sababu za mgomo huo ni kuwa Wanatozwa ushuru mkubwa na manispaa hawafanyi usafi sokoni humo na kusababisha soko hilo kuwa chafu kila siku.Wafanyabiashara hao wamegoma kuuza bidhaa hadi pale manispaa ya dodoma itakapotoa taarifa zaidi na utekelezaji wa kuhakikisha soko hilo linakua safi.
Tutazaidi kutaarifiana kadri taarifa zinavyozidi kutufikia.






No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)