Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,
Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya
washiriki wa Mkutano wa Kimataifa wa siku wenye lengo la kujadili
na kubadilishana mawazo kuhusu ufadhili wa mkiradi yenye ufanisi katika
nchi saba za Afrika Mashariki, ulioanza leo Machi 6, 2012 jijini Dar es
Salaam.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt.
Mohammed Gharib Bilal, akiagana na Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii, Dkt.Haji
Mponda, baada ya kufungua mkutano wa siku mbili wa Kimataifa wa kujadili na
kubadilishana mawazo kuhusu ufadhili wa mkiradi yenye ufanisi katika nchi saba
za Afrika Mashariki, ulioanza leo Machi 6, 2012 jijini Dar es Salaam. Picha na
Muhidin Sufiani-OMR





No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)