VUTA NI KUVUTE NA CHUMA CHAKAVU - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

VUTA NI KUVUTE NA CHUMA CHAKAVU

Watu wasiojulikana ambao wanasadikiwa kuwa ni wauza chuma chakavu wamejaribu bila mafanikio kubandua bango la taarifa lililopo katika Barabara ya Morogoro mbele ya Chuo cha Teknolojia (DIT) Dar es Salaam. (Na Mpigapicha Wetu).

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages