Ndg. Joseph Oswald Kapinga
Ndugu Joseph Kapinga
pichani hapo juu anapenda kuwajulisha ndugu, jamaa na marafiki kuwa Ratiba ya mazishi ya mpendwa
mdogo wetu Denis O. Kapinga yatafanyika leo Tarehe 29/03/2012 katika makaburi ya
Sinza karibu na ukumbi wa mwika.
Ratiba itakuwa kama
ifuatavyo:
Mwili wa marehemu utafika
Nyumbani maeneo ya Sinza karibu na New White Inn Bar bara bara ya Sinza uzuri
mnamo saa 6.00 Mchana kutoka Hospitali ya Mwananyamala.
Mwili utaagwa nyumbani saa 7.00
Mchana na baadae utapelekwa kanisa la Roman Catholic Sinza kwa Ibada.
Baada ya hapo Saa 8.30 Mchana
mwili wa marehemu utapelekwa Makaburi ya Sinza kwenye nyumba yake ya milele.
"BWANA ALITOA NA BWANA






No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)