UZINDUZI WA MUONEKANO MPYA WA BIA YA BALIMI MKOANI KIGOMA - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

UZINDUZI WA MUONEKANO MPYA WA BIA YA BALIMI MKOANI KIGOMA

Meneja wa Bia ya Balimi Extra Lager, Edith Bebwa akizungumza na wageni waalikwa wakati wa uzinduzi wa muonekano mpya wa Bia wa Balimi Extra Lager uliofanyika katika Ukumbi wa Kibo Peak Hotel Kigoma mjini.Mkuu wa Wilaya ya Kigoma, John Mongele (kushoto) akizungumza na wageni waalikwa wakati wa uzinduzi wa muonekano mpya wa Bia wa Balimi Extra Lager uliofanyika katika Ukumbi wa Kibo Peak Hotel Kigoma Mjini
Meza kuu wakigonganisha chupa wakati wa uzinduzi huo
Meneja wa Bia ya Balimi Extra Lager, Edith Bebwa akigonganisha chupa na baadhi ya wageni waalikwa wakati wa uzinduzi wa muonekano mpya wa Bia wa Balimi Extra Lager uliofanyika katika Ukumbi wa Kibo Peak Hotel Kigoma Mjini jana.
Wacheza shoo wa Kampuni ya Promotion ya Intergrated Comminications wakicheza wakati wa uzinduzi wa muonekano mpya wa Bia wa Balimi Extra Lager uliofanyika katika Ukumbi wa Kibo Peak Hotel Kigoma mjini
Wakiwa kwenye pozi

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages