Mafundi wa Kampuni ya RADI Investment wakisubiri kushusha na kufunga transfoma yenye ukubwa wa 15,000KVA katika kituo kidogo cha City Centre kilichopo Kisutu Dar es Salaam - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

demo-image

Mafundi wa Kampuni ya RADI Investment wakisubiri kushusha na kufunga transfoma yenye ukubwa wa 15,000KVA katika kituo kidogo cha City Centre kilichopo Kisutu Dar es Salaam

.com/blogger_img_proxy/ Mafundi wa Kampuni ya RADI Investment wakisubiri kushusha na kufunga transfoma yenye ukubwa wa 15,000KVA katika kituo kidogo cha City Centre kilichopo Kisutu Dar es Salaam, ikiwa ni juhudi za Wizara ya Nishati na Madini kwa kushirikiana na Shirika la Umeme nchini (TANESCO) kutatua tatizo la umeme katikati ya Jiji la Dar es Salaama. Transfoma hiyo inayotarajiwa kuwashwa kati ya Jumapili na Jumatatu ina uzito wa zaidi ya tani 38. (Picha na Fadhili Akida).

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)

Pages