Umoja wa Ulaya Waisaidia Serikali Ya Tanzania Shilingi Bilioni 108 ili Kuimarisha Miradi ya Maji Katika Mikoa ya Rukwa, Lindi na Kigoma - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

Umoja wa Ulaya Waisaidia Serikali Ya Tanzania Shilingi Bilioni 108 ili Kuimarisha Miradi ya Maji Katika Mikoa ya Rukwa, Lindi na Kigoma

Naibu Katibu Mkuu wizara ya Fedha Dr. Servacius Likwelile akibadilishana hati za makubaliano na Balozi wa nchi za Umoja wa Ulaya Filiberto Cerian Sebregondi katika ukumbi wa mikutano wa wizara hiyo jana jijini Dar es Salaam. Jumla ya shilingi bilioni 108 zimetolewa na umoja huo fedha ambazo zitatumika kuimarisha miradi ya maji katika mikoa ya Rukwa, Lindi na Kigoma ili kutimiza malengo ya milinia ifikapo mwaka 2015.
Naibu Katibu Mkuu wizara ya Fedha Dr. Servacius Likwelile na Balozi wa nchi za Umoja wa Ulaya Filiberto Cerian Sebregondi wakisaini hati za makubaliano katika ukumbi wa mikutano wa wizara hiyo jana jijini Dar es Salaam. Jumla ya shilingi bilioni 108 zimetolewa na umoja huo fedha ambazo zitatumika kuimarisha miradi ya maji katika mikoa ya Rukwa, Lindi na Kigoma ili kutimiza malengo ya milinia ifikapo mwaka 2015.Picha na Anna Nkinda - MAELEZO

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages