Rais
wa Chama cha Madaktari nchini (MAT)Dk. Namala Mkopi akitangaza
kumaliza mgomo wa madaktari, Dar es Salaam jana, baada ya kukutana na
Rais Jakaya Kikwete juzi. Kulia ni Makamu wa Rais wa MAT, Dk. Primus
Saidia

Mwenyekiti
wa Kamati ya Madaktari, Dk. Steven Ulimboka (kushoto) akizungumza na
waandishi wa habari Dar es Salaam jana mchana, kuhusu uamuzi wao wa
kusitisha rasmi mgomo wa madaktari nchini.

Mwenyekiti
wa Kamati ya Madaktari, Dk. Steven Ulimboka (kushoto) akizungumza na
waandishi wa habari Dar es Salaam jana mchana, kuhusu uamuzi wao wa
kusitisha rasmi mgomo wa madaktari nchini.Picha na Mdau Richard
Mwaikenda

No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)