Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed
Shein,akitoa kutuba yake kwa waaumini wa dini ya kiislamu baada ya
kuufungua Msikiti Masjid Maamur wa Kiembesamaki Milimani Wilaya ya
Magharibi Unguja jana,ambao unauwezo wa kusaliwa na waumini 400 kwa
wakati mmoja,thamani ya ujenzi wa msikiti huo ni Mia moja sabiini
Milioni.
Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed
Shein,akikata utepe kama ishara ya uzinduzi wa Msikiti Masjid Maamur wa
Kiembesamaki Milimani wilaya ya Magharibi Unguja juzi,ambao unauwezo wa
kuswaliwa na waumini 400 kwa wakati mmoja,thamani ya ujenzi w msikiti
huo ni Mia moja sabii Milioni,(kulia) Kadhi Mkuu wa Zanzibar Sheikh
Khamis Haji.
Baadhi
ya wananchi na waumini wa Dini ya kiislamu wakimsikiliza Rais wa
Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed
Shein,akitoa kutuba yake kwa waaumini hao jana baada ya kuufungua
Msikiti Masjid Maamur wa Kiembesamaki Milimani wilaya ya Magharibi
Unguja juzi.Picha na Ramadhan Othman,IKULU-Zanzibar
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)