CHUO KIKUU CHA DODOMA (UDOM) CHAPATIWA MSAADA WA KOMPYUTA NA KAMPUNI YA SIMU ZA MIKONONI YA TIGO - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

CHUO KIKUU CHA DODOMA (UDOM) CHAPATIWA MSAADA WA KOMPYUTA NA KAMPUNI YA SIMU ZA MIKONONI YA TIGO

Mratibu wa promosheni ya tigo katika Elimu Edward Shila akikabidhi msaada wa Kompyuta kwa Kaimu Makamu Mkuu Wa Mipango, Fedha na Utawala wa Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM) Profesa Shaaban Mlacha juzi. Jumla ya Kopyuta 48 zenye thamani ya zaidi ya Sh 37 Milioni zilikabidhiwa na kampuni hiyo kwa ajili ya Kitivo cha Sayansi ya Tiba kwa Jamii.

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages