
Mgombea
wa jimbo la arumeru(CHADEMA) Joshua Nassari akinadi sera zake kwenye
mkutano wa kampeni ya CHADEMA jana kwenye kijiji cha Ambureni

Mtoto mdogo akiimba utenzi kumwombea kura Nasari wa CHADEMA

Wanakijiji wakiikaribisha helkopita ianyotumiwa na CHADEMA ilipokuwa ikitua eneo la mkutano Ambureni

Sehemu ya umati wa wankijiji cha Ambureni Arumeru mashariki wakisikiliza mkutano wa CHADEMA jana.Picha na Jackson Makala





No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)