Gari aina ya Prado ikiwa imepaki katika kituo Cha daladala cha Jamatini Mkoani Dodoma huku ikigeuka kuwa duka la CD za aina zote CD za filamu kutoka Tanzania,India, Nigeria na kwingineko hii ni kutoka na kuwa na soko huria.Popote kambi na popote Duka hii tunaweza kuita Mobile Shop kama ilivyo kwa Mobile Clinic au Mobile ATM.
-





No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)