Ujenzi wa barabara zilizopo katika makazi mapya ya Wanafunzi wa Kitivo
Cha Sayansi ya jamii cha Chuo Kikuu Cha Dodoma (UDOM) ukiendelea mara
baada ya kumwagwa vifusi kama inavyoonekana katika picha hapo.Ujenzi huu
ukiisha utawezesha kwa kiasi kikubwa sana kupunguza vumbi na kufanya
barabara hizo kuwa katika pavement ambapo barabara hizo ujengwa kwa
kuwekwa zege mwishoni kabisa
-





No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)