MOURINE ALIVYONG'ARA KATIKA HAFLA YA KUMBUKUMBU YA KUZALIWA KWAKE ILIYOFANYIKA USIKU WA KUAMKIA LEO NDANI YA CLUB 84 MJINI DODOMA - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Breaking

Home Top Ad

Responsive Ads Here

Post Top Ad

Responsive Ads Here

MOURINE ALIVYONG'ARA KATIKA HAFLA YA KUMBUKUMBU YA KUZALIWA KWAKE ILIYOFANYIKA USIKU WA KUAMKIA LEO NDANI YA CLUB 84 MJINI DODOMA

Hapa safari Ndio ilikua inaanza Na Kampuni kubwa kabisa ya Usafirishaji Abiria ya SHABIBY LINE ndio walikua Wadhamini katika kubeba wanafunzi wa UDOM kuwapeleka ukumbini na kuwarudisha
Mtoto aliyezaliwa jana Mourine Akiwa katika tabasamu Wakati akingojea kuwakaribisha Wageni waalikwa katika hfla fupi ya Kumbukumbu ya Kuzaliwa kwake iliyofanyika usiku wa kuamkia leo katika ukumbi wa club ya 84 iliyopo Mjini Dodoma
Hapa Kazi ya Kufungua Shampeni Ikawadia na Kijana BIG ndio alipochukua nafasi hiyo katika Kufungua shampeni akiwakilisha Kundi la Wavulana katika kufungua Shampeni
Mwakilishi wa Wasichana Katika Kufungua Shampeni Sarita Swalehe akishangaa kidogo mara baada ya kufungua shampeni hiyo
Hii ndio Keki yenyewe
Zoezi la  kukata keki likaanza na Mtoto aliyezaliwa upya Mourine akikata keki tayari kwa kuwalisha wageni waalikwa
Francis Gucci akimlisha keki Mtoto aliyezaliwa upya Mourine katika hafla fupi ya kumbukumbu ya kuzaliwa kwake iliyofanyika usiku wa kuamkia leo katika ukumbi wa club ya 84 iliyopo mjini Dodoma
Zoezi la kulisha wageni keki hapa lilikua likiendelea
Muda wa maakuli hapa wadau wakipata msosi
 Wadau wakiendelea kuchezesha meno kwa kutafuna vitu vitamu katika hafla hiyo iliyofanyika usiku wa kuamkia leo


Mtayarishaji Na Mmiliki wa Lukaza Blog Josephat Lukaza (Kulia) akiwa katika picha ya Pamoja na Rafiki yake Mkubwa Sarita Swalehe katika hafla ya kumbukumbu ya kuzaliwa kwa Mourine iliyofanyika usiku wa Kuamkia leo katika ukumbi wa Club 84
 Pombe sio Maji aaahhhhh...Kijana Akitafakari bila Kupenda Mara baada ya kuweka vyombo kichwani......
 Show love to each other

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)

Post Bottom Ad

Responsive Ads Here

Pages