Rais Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akifungua mkutano wa
Kimataifa wa Mamlaka za Kuzuia na Kupambana na Rushwa kutoka nchini
mbalimbali duniani mjini Arusha leo. Miongoni mwa nchi zinazoshiriki
katika mkutano huo ni pamoja na Morocco , Uingereza, Qatar, Uganda,
Romania, Brazil, Austria, india, Belgium , Spain, Ukraine , Malsiyia ,
Namibia na Mwenyeji Tanzania.
-





No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)