Waziri
Mkuu,Mizengo Pinda akizungumza na Balozi wa Uholanzi nchini, Dk. AD
Koekkoek ofisini kwake jijini Dar es salaam Machi 30, 2012.
Waziri
Mkuu, Mizengo Pinda akisalimianana Balozi wa Vatican nchini, Montecillo
Padilla kabla ya mazungumzo, ofisini kwake jijini Dar es salaam Machi
30,2012.
Waziri
Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na Balozi wa Vatican chini, Montecillo
Padilla, ofisini kwake jijini Dar es salaam Machi 30,2012.Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)