Mbunge wa Jimbo la Ubungo(CHADEMA)Mh John Mnyika akitoka mahakamani,nyuma ni wakili anayemtetea, Bw. Mbogolo
Wakili
Wa Mbunge wa Ubungo(CHADEMA)Bw. Mbogolo akiwa anatoka akimsabahi
Mshtaki, Bi. Hawa Nghumbi (CCM) Jana Jijini Dar es SALAAM
"Nguvu ya Umma......Peoples Power!!""Sauti ya watu, sauti ya MUNGU"Jana Jijini Dar es Salaam
Mbunge
wa Ubungo(CHADEMA)Mh John Myika(wa Nne Kulia)akitembea kutoka
mahakamani kwenda ofisini Ubungo na wananchi waliofika mahakamani "A
walk from Court to Office" jana jijini Dar es Salaam.Picha na Habari
Zimeletwa na John Mnyika(MB)
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)