Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed
Shein,akizungumza na Ujumbe wa wahadhiri wa Kimataifa (wazalendo)
walioshiriki katika warsha ya utayarishaji wa Mitaala ya masomo ya
Uzamili na Uzamivu katika Kiswahili,ukiongozwa na Mwenyekiti wao Prof
Said Ahmed wa Ujerumani,(wa pili kulia) walipofika Ikulu Mjini
Zanzibar.Picha na Ramadhan Othman Ikulu-Zanzibar
-
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)