Mmoja wa waombolezaji akimsalimia Rais
Kikwete kwa kuibusi Pete yake, kulia ni Ndugu Omary Mjenga akishuhudia tukio hilo.
Rais akisalimiana na Ndugu Omary Mjenga jana
walipokutana kwenye mazishi ya Mkuu wa Wilaya ya Liwale. Ndugu Mjenga alikuwa Personal Secretary wa Rais
Kikwete wakati alipokuwa Waziri wa Mambo ya Nje kabla hajawa Rais.Picha Na Mdau Henry Henry
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)