
Nassari akiwa karibu na helikopta,usafiri anaoutumia kwenye kampeni zake.Anafanya mikutano mitano hadi sita kwa siku

Mwenyekiti
wa Chadema, Mbunge wa Hai na Kiongozi Mkuu wa Kambi rasmi ya upinzani
bungeni Mh.Freeman Mbowe akimuombea kura Nasari

Mzee maarufu wa CCM aliyerejesha kadi na kujiunga CHADEMA akimnadi Joshua Nassari

Mgombea wa kiti cha ubunge jimbo la arumeru mashariki(Chadema) Joshua Nassari akiomba kura katika kijiji cha Nshupu jana


Mgombea wa kiti cha ubunge jimbo la arumeru mashariki(Chadema) Joshua Nasari akisalimia watu baada ya mkutano

Nasari(katikati)
akisindikizwa kwenye helkopta.Kushoto ni Kamanda Renatus Mrashani
katibu wa CHADEMA mkoa wa Dar es salaam,na kulia ni kamanda Jackson
Makala.Picha na Jacson W. Makala-Arumeru





No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)