Mwakilishi
wa Baraza la Wawakilishi jimbo la Uzini, Mohammed Raza Daramsi
akiapishwa leo na spika wa baraza la wawakilishi Kivicho katika kikao
cha Baraza la Wawakilishi kilichoanza leo mjini Zanzibar.Raza
ameapishwa kufuatia kuibuka kidedea katika uchaguzi mdogo wa jimbo
hilo, uliofanyika mapema mwaka huu na Raza kuibuka na ushindi wa
asilimia 61.
-





No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)