Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na Naibu Waziri wa Elimu na
Mafunzo ya Ufundi,Philip Mulugo (kushoto) na Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu
cha Dar es salaam, Profesa Rwekaza Mukandala baada ya kufungua
Mkutano wa Kitaifa kuhusu Elimu ulioandaliwa na Chuo Kikuu cha Dar es
salaam kwenye hoteli ya Kunduchi jijini Dar es salaam Machi 28, 2012.
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizindua Mradi wa Ufugaji kuku wa
Wahitimu wa Chuo Kikuu cha Kilimo cha Sokoine kwenye ukumbi wa Diamond
Jubilee jijini Dar es salaam Machi 28,2012. Katikati ni Naibu Waziri wa
Maendeleo ya Mifugo na Uvuvi, Benedict Ole -Nangoro.
Waziri Mkuu,
Mizengo Pinda akitoka kwenye ukumbi wa Diamond Jubilee jijini Dar es
salaa baada ya kuzindua Mradi wa Ufugaji kuku wa Wahitimu wa Chuo
Kikuu cha Kilimo cha Sokoine, Machi 28,2012. Kulia ni Naibu Waziri wa
Maendeleo ya Mifugo na Uvuvi, Benedict Ole -Nangoro. (Picha na Ofisi ya
Waziri Mkuu)





No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)