Baadhi ya wafanyabiashara za utalii toka Tanzania wakiuza bidhaa za Tanzania.
Hawa
ni washindi wa mashindano ya watu wenye mustachi yaandi ndeve ndefu
zaidi duniani kama wanavyoonekana walipotembelea banda la Tanzania.
Banda la TTB lilivyokuwa likionekana wakati wa maonesho haya
Bodi
ua Utalii Tanzania iliratibu vyema maonesho ya utalii yaliyofanyika
nchini ujerumani katika jiji la Berlin kuanzia tarehe 7 – 11 Machi
2012.
Maonesho ya ITB ndio maonesho makubwa duniani yanayowakutanisha wafanya biashara za utalii duniani.
Katika maonesho haya Bodi ya Utalii iliwaza vyema kutengeneza utalii ambao ni hazina kubwa kwa nchi ya Tanzania.Picha na Habari Kwa Hisani ya Father Kidevu Blogu
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)