Mkuu
wa Mkoa wa Rukwa Injinia Stella Manyanya akigonganisha Glasi ya Whisky
na Katibu Mkuu Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma George
Yambesi katika hafla hiyo iliyofanyika katika viwanja vya Ofisi ya Mkuu
wa Mkoa huo jana.
Mkuu
wa mkoa wa Rukwa, Injinia Stella Manyanya, akifungua mkutano wa mwaka
wa wakurugenzi wa utawala na rasilimali watu wa Wizara na makatibu
tawala wasaidizi Utawala na Rasilimali Watu wa Mikoa uliofanyika katika
ukumbi wa mikutano wa mkoa huo (RDC) jana mjini Sumbawanga.
Kutoka
kushoto ni Bi. Elizabeth Nyangumi Naibu Katibu Mkuu Hazina, George
Yambesi Katibu Mkuu Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma, Mkuu
wa mkoa wa Rukwa, Injinia Stella Manyanya akifuatilia moja ya mada
katikamkutano wa mwaka wa wakurugenzi wa utawala na rasilimali watu na
makatibu tawala wasaidizi uliofanyika katika ukumbi wa mikutano wa mkoa
huo (RDC)jana mjini Sumbawanga.Kwa Habari Kutoka Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Wa Rukwa temebelea..
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)