WAPENDWA WATAZAMAJI WA TMTV,TUNAWAOMBA RADHI KWA MATATIZO
YALIYOJITOKEZA HAPO AWALI.KWA SASA TMTV IPO FITI NA MAMBO YAMEKUWA NI
MAZURI KWANI NYIMBO KIBAO MPYA ZIPO HEWANI.TAFADHALI MJULISHE NA MWEZIO
UPATAPO UJUMBE HUU KWA BURUDANI ZAIDI.
BONYEZA HAPA KUINGIA KTK TV. http://www.tmtv.co.tz/
Tanzania
Music Television (TMTV) ni TV ambayo unaweza kuiona Online na pia ktk
DECODER . TMTV itazinduliwa hivi karibuni pindi maandalizi yatakapokuwa
tayari. Kwasasa waweza kuendelea kuangalia Chanel hii bure kupitia
computer yako kwa linki hii www.tmtv.co.tz.
Mauzo ya DECODER yataanza pindi decoder zitakapo kamilika.Ili watu waweze kuona TMTV kupitia TV zao za majumbani.
Vile
vile ni TV ambayo inarushwa kwa teknonlojia mpya ambayo unaweza
kuangalia TMTV kupitia, MOBILE ,GAMES Kama XBOX360,SMATPHONES, aina zote
za mobile kama Nokia, Motorolla, Samsung, LG Zenye 3G n.k pia kupitia
Android na Decoder TRU SATTELITE.
TMTV ni kwa ajili yetu sote, isitoshe ni ya kijanja na imelenga kutuburudisha kokote tulipo kupitia simu zetu
na computer zetu. Ikiwa kama MTV chanel.
TMTV ni music chanel ambayo inaonyesha music ya kibongo mchanganyiko 24/7.
TMTV ina vipindi 10,
SWAHILI HIP HOP
ZILIPENDWA
TAARABU
NYIMBO ZA ASILI
NYIMBO ZA DINI
SALAMU BOX
BONGO BOX
TMTV TOP 10
VIPAJI na
MUSIC NEWS.
Tusiogope kuisapoti bidhaa yetu ya nyumbani kabisa. Tuipe ushirikiano wa kutosha
Link www.tmtv.co.tz Downlod microsoft Silverlight itajitokeza ktk screen,kama haijafunguka
yenyewe.
Email. info@tmtv.co.tz
SHUKRAN KWA USHIRIKIANO WAKO.
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)