AJALI MBAYA YATOKEA USIKU HUU MAENEO YA IWAMBI MBEYA MMOJA AFARIKI PAPO HAPO - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

AJALI MBAYA YATOKEA USIKU HUU MAENEO YA IWAMBI MBEYA MMOJA AFARIKI PAPO HAPO

Ajali mbaya imetokea usiku huu barabara ya kuelekea tunduma eneo la iwambi kati ya gari aina ya toyota hilux na daladala aina ya toyota hiace mtu mmoja amefariki ambaye alikua dereva wa  gari pick up toyota hilux na majeruhi wanne waliokuwa kwenye dala dala hilo





Mke wa mmiliki wa basi la dala dala akilia kwa uchungu kuwa gari hiyo haijamaliza hata wiki tangu wanunue inapata ajali analia akisema sasa umaskini umeingia katika familia yao

Habari Kwa Hisani Ya Mbeya Yetu Blogu

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages