Mwanafunzi wa
shule ya Ngwachani iliyopo Zanzibar Selemani Sareh akinywa dawa ya
kichocho kuashiria uzinduzi wa kampeni ya kupambana na ugonjwa huo
visiwani humo. Wanaoshuhudia ni Naibu Waziri wa Afya wa Zanzibar, Sira
Ubwa Mwamboga (mwenye kilemba) na Mwenyekiti Mtendaji wa kampuni ya dawa
ya kijerumani iitwayo Merck Dk. Karl Ludwig Kley(kulia). (Na Mpigapicha
Wetu).
-
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)